# Mbao za hema Hizi ni mbao zinazotenegenezwa kwa kuunganisha vipande viwili vya mbao. # mataruma Hii ni mihimili inayolifanya jengo kuwa na imara. # nguzo Nguzo ni ubao imara unaosimamishwa wima ili kushikilia kitu. # makalishio hivi ni vitu ambavyo viliwekwa mahali ambapo nguzo zilisimikwa. # vifaa vya ujenzi Hii inamaanishsa kila kitu ambacho kilitumika kwa kuunganishia mataruma, nguzo na makalishio # pamoja na vigingi vyake kiwakilishi "vyake" inamaanisha mihimili na nguzo. # vitundu, vigingi na kamba zake Hivi ni vifaa ambavyo vilitumika ili kuunganisha mbao zilizolazwa kwenye nguzo.