sw_tn/num/01/17.md

20 lines
620 B
Markdown

# Wakawachukua wale wanaume
"Wakawakusanya wale wanaume pamoja"
# Waliokuwa wameandikwa kwa majina
"Ambao majina yao walikuwa wameyaandika"
# Siku ya kwanza ya mwezi wa pili
"Siku ya 1 ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Siku ya kwanza iko karibu na siku ya katikati ya mwezi wa Apili katika kalenda ya kimagharibi.
# Kishsa kila mwanamume ... alitambua babu zake. Alitakiwa kutaja koo na familia kutoka katika ukoo
Sentensi ya pili inafanana na sentensi ya kwanza ila imetumika kuongeza ufafanuzi.
# Alitakiwa kutaja
"Kutaja" inamaanisha "kusema." "Kila mwanamume alitakiwa kusema"