# Wakawachukua wale wanaume "Wakawakusanya wale wanaume pamoja" # Waliokuwa wameandikwa kwa majina "Ambao majina yao walikuwa wameyaandika" # Siku ya kwanza ya mwezi wa pili "Siku ya 1 ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Siku ya kwanza iko karibu na siku ya katikati ya mwezi wa Apili katika kalenda ya kimagharibi. # Kishsa kila mwanamume ... alitambua babu zake. Alitakiwa kutaja koo na familia kutoka katika ukoo Sentensi ya pili inafanana na sentensi ya kwanza ila imetumika kuongeza ufafanuzi. # Alitakiwa kutaja "Kutaja" inamaanisha "kusema." "Kila mwanamume alitakiwa kusema"