sw_tn/num/01/17.md

620 B

Wakawachukua wale wanaume

"Wakawakusanya wale wanaume pamoja"

Waliokuwa wameandikwa kwa majina

"Ambao majina yao walikuwa wameyaandika"

Siku ya kwanza ya mwezi wa pili

"Siku ya 1 ya mwezi wa 2." Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Siku ya kwanza iko karibu na siku ya katikati ya mwezi wa Apili katika kalenda ya kimagharibi.

Kishsa kila mwanamume ... alitambua babu zake. Alitakiwa kutaja koo na familia kutoka katika ukoo

Sentensi ya pili inafanana na sentensi ya kwanza ila imetumika kuongeza ufafanuzi.

Alitakiwa kutaja

"Kutaja" inamaanisha "kusema." "Kila mwanamume alitakiwa kusema"