sw_tn/neh/09/26.md

731 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Walitupa sheria yako nyuma ya migongo yao

Sheria inasemekana kama ni kitu ambacho hakina maana ambacho mtu anaweza kutupa. AT "Walichukulia sheria yako haikuwa na maana na hawakujali"

Walitupa sheria yako

Waisraeli walitupa sheria ya Bwana.

hiyo ukawatia mikononi mwa adui zao

Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "umeruhusu maadui wa watu wako kuwadhuru watu wako"

uliwatuma waokoaji waliowaokoa katika mikono ya adui zao

Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "uliwatuma watu kuacha adui zao kuwadhuru"