# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Walitupa sheria yako nyuma ya migongo yao Sheria inasemekana kama ni kitu ambacho hakina maana ambacho mtu anaweza kutupa. AT "Walichukulia sheria yako haikuwa na maana na hawakujali" # Walitupa sheria yako Waisraeli walitupa sheria ya Bwana. # hiyo ukawatia mikononi mwa adui zao Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "umeruhusu maadui wa watu wako kuwadhuru watu wako" # uliwatuma waokoaji waliowaokoa katika mikono ya adui zao Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "uliwatuma watu kuacha adui zao kuwadhuru"