sw_tn/neh/09/26.md

20 lines
731 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Walitupa sheria yako nyuma ya migongo yao
Sheria inasemekana kama ni kitu ambacho hakina maana ambacho mtu anaweza kutupa. AT "Walichukulia sheria yako haikuwa na maana na hawakujali"
# Walitupa sheria yako
Waisraeli walitupa sheria ya Bwana.
# hiyo ukawatia mikononi mwa adui zao
Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "umeruhusu maadui wa watu wako kuwadhuru watu wako"
# uliwatuma waokoaji waliowaokoa katika mikono ya adui zao
Hapa neno "mkono" (sehemu) linaashiria uwezo wa "maadui" (kama watu wote) kufanya madhara. AT "uliwatuma watu kuacha adui zao kuwadhuru"