sw_tn/neh/08/06.md

491 B

Ezra akamshukuru Bwana

Jina hili "shukran" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. AT "Ezra alishukuru Bwana"

Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodai, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabidi, Hanania, Pelaya nao ni Walawi, waliwasaidia watu kuelewa sheria,

Haya yote ni majina ya wanaume

wakaeleza wazi kwa tafsiri na kutoa maana

Ufafanuzi wa maneno "tafsiri" na "maana" yanaweza kutafsiriwa kama vitenzi. AT "akifafanua wazi na kuelezea"

yaliyosomwa

"nini kilichosomwa"