# Ezra akamshukuru Bwana Jina hili "shukran" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. AT "Ezra alishukuru Bwana" # Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodai, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabidi, Hanania, Pelaya nao ni Walawi, waliwasaidia watu kuelewa sheria, Haya yote ni majina ya wanaume # wakaeleza wazi kwa tafsiri na kutoa maana Ufafanuzi wa maneno "tafsiri" na "maana" yanaweza kutafsiriwa kama vitenzi. AT "akifafanua wazi na kuelezea" # yaliyosomwa "nini kilichosomwa"