sw_tn/neh/08/06.md

16 lines
491 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ezra akamshukuru Bwana
Jina hili "shukran" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. AT "Ezra alishukuru Bwana"
# Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodai, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabidi, Hanania, Pelaya nao ni Walawi, waliwasaidia watu kuelewa sheria,
Haya yote ni majina ya wanaume
# wakaeleza wazi kwa tafsiri na kutoa maana
Ufafanuzi wa maneno "tafsiri" na "maana" yanaweza kutafsiriwa kama vitenzi. AT "akifafanua wazi na kuelezea"
# yaliyosomwa
"nini kilichosomwa"