sw_tn/mat/27/09.md

20 lines
530 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Mwandishi ananukuu toka maandiko ya Agano Jipya kuonesha kuwa kujinyonga kwa Yuda kulikuwa kutimiza unabii
# Kisha lile neno lililokuwa limenwa na nabii Yeremia litimie
"Hili liltimiza unabii ambao nabii Yeremia alisema"
# gharama iliyopngwa na watu wa Israel
"Gharama ambayo watu wa Isrel walimpngia"
# watu wa Israel
Hii inamaanisha baadhi ya watu wa Isrel waliolipa ili Yesu auawe. "baadhi ya watu wa Israel" au "viongozi wa Israel"
# alivyokuwa amenielekeza
kiwakilishi "ni" kinamaanisha Yeremia