# Maelezo kwa ujumla Mwandishi ananukuu toka maandiko ya Agano Jipya kuonesha kuwa kujinyonga kwa Yuda kulikuwa kutimiza unabii # Kisha lile neno lililokuwa limenwa na nabii Yeremia litimie "Hili liltimiza unabii ambao nabii Yeremia alisema" # gharama iliyopngwa na watu wa Israel "Gharama ambayo watu wa Isrel walimpngia" # watu wa Israel Hii inamaanisha baadhi ya watu wa Isrel waliolipa ili Yesu auawe. "baadhi ya watu wa Israel" au "viongozi wa Israel" # alivyokuwa amenielekeza kiwakilishi "ni" kinamaanisha Yeremia