sw_tn/mat/26/47.md

28 lines
650 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inaazisha habari ya Yuda wakati alipomsaliti Yesu na viongozi wa dini wakamkamata
# Wakati alipokuwa bado akiongea.
"Wakati Yesu alipokuwa bado akiongea."
# marungu
vipande vikubwa vya miti vya kupigia watu
# Sasa ... mkamateni
Neno "sasa" linaonesha kuanza kwa habari mpya. Mathayo anaeleza jinsi Yuda atakavyotoa ishara atakayotoa kwa nia ya kumsaliti.
# Akisema, "Yule nitakaye mbusu, ndiye yeye. Mkamateni."
"Akasema kwamba yule aliye mbusu ndiye waliyepaswa kumkamata."
# Huyo nitakaye mbusu.
"Yule nitakaye mbusu" au "Mtu ambaye nita mbusu."
# Busu.
Namna ya heshima ya kumsalimia mwalimu wa mtu mwingine.