# Sentensi unganishi Hii inaazisha habari ya Yuda wakati alipomsaliti Yesu na viongozi wa dini wakamkamata # Wakati alipokuwa bado akiongea. "Wakati Yesu alipokuwa bado akiongea." # marungu vipande vikubwa vya miti vya kupigia watu # Sasa ... mkamateni Neno "sasa" linaonesha kuanza kwa habari mpya. Mathayo anaeleza jinsi Yuda atakavyotoa ishara atakayotoa kwa nia ya kumsaliti. # Akisema, "Yule nitakaye mbusu, ndiye yeye. Mkamateni." "Akasema kwamba yule aliye mbusu ndiye waliyepaswa kumkamata." # Huyo nitakaye mbusu. "Yule nitakaye mbusu" au "Mtu ambaye nita mbusu." # Busu. Namna ya heshima ya kumsalimia mwalimu wa mtu mwingine.