sw_tn/mat/26/27.md

40 lines
744 B
Markdown

# kutwaa au chukua.
Tazama14:19
# kikombe
Kikombe kinamaanisha kikombe kikiwa na divai ndani yake
# kunyweni
"kunywa divai kutoka kikombe hiki"
# kwa kuwa hii ni damu yangu
"kwa kuwa hii divai ni damu yangu"
# Damu ya agano.
"Damu ambayo huonesha kwamba agano linafanya kazi" au "damu ambayo hufanya agano liwezekane.
# Inamwagwa.
"Inamwagwa kwa ajili ya kifo" au "hivi punde itachuruzika kutoka mwilini mwangu." au "itachuruzika kutoka katika majeraha yangu nitakapo kufa."
# matunda ya mzabibu.
"mvinyo"
# Lakini nawaambia
Hii inaongeza msisitzo
# katika Ufalme wa Baba yangu.
Baba atakapoanzisha ufalme wake duniani "hapa"
# wa baba yangu
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu kinachoonesha uhusiano muhimu kati ya Mungu na Yesu.