# kutwaa au chukua. Tazama14:19 # kikombe Kikombe kinamaanisha kikombe kikiwa na divai ndani yake # kunyweni "kunywa divai kutoka kikombe hiki" # kwa kuwa hii ni damu yangu "kwa kuwa hii divai ni damu yangu" # Damu ya agano. "Damu ambayo huonesha kwamba agano linafanya kazi" au "damu ambayo hufanya agano liwezekane. # Inamwagwa. "Inamwagwa kwa ajili ya kifo" au "hivi punde itachuruzika kutoka mwilini mwangu." au "itachuruzika kutoka katika majeraha yangu nitakapo kufa." # matunda ya mzabibu. "mvinyo" # Lakini nawaambia Hii inaongeza msisitzo # katika Ufalme wa Baba yangu. Baba atakapoanzisha ufalme wake duniani "hapa" # wa baba yangu Hiki ni cheo muhimu cha Mungu kinachoonesha uhusiano muhimu kati ya Mungu na Yesu.