sw_tn/mat/26/23.md

24 lines
393 B
Markdown

# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu y ake mwenyewe
# ataondoka
"akufa"
# kama ilivyoandikwa
"kama vile manabii walivyoandika juu yake katika maandiko"
# Mtu yule ambaye kwake Mwana wa Adamu asalitiwa.
"Mtu ambaye amsaliti Mwana wa Adamu."
# Je, ni mimi Tabi?
"Rabi, kwa hakika si mimi nitakayekusaliti"
# Umesema jambo hilo wewe mwenyewe
"wewe ndiye unayesema"