# Mwana wa Adamu Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu y ake mwenyewe # ataondoka "akufa" # kama ilivyoandikwa "kama vile manabii walivyoandika juu yake katika maandiko" # Mtu yule ambaye kwake Mwana wa Adamu asalitiwa. "Mtu ambaye amsaliti Mwana wa Adamu." # Je, ni mimi Tabi? "Rabi, kwa hakika si mimi nitakayekusaliti" # Umesema jambo hilo wewe mwenyewe "wewe ndiye unayesema"