sw_tn/mat/25/intro.md

716 B

Mathayo 25 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Sura hii inaendeleza mafundisho ya sura ya awali.

Dhana maalum katika sura hii

Mfano wa bikira kumi

Miongoni mwa Wayahudi, wakati ndoa ilipangwa, kulikuwa na muda kabla ya harusi. Mwisho wa muda huo, kijana huyo angeenda nyumbani kwa bibi arusi, ambako alikuwa anamngojea. Sherehe ya harusi basi ingefanyika. Kwa furaha kubwa wangeweza kusafiri hadi nyumba ya bwana harusi, ambako kungekuwa na sikukuu. (Angalia: rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)

Yesu anatumia desturi hii kwa kuwaambia mfano wa bikira kumi (Mathayo 25:1-13).

<< | >>