sw_tn/mat/25/34.md

28 lines
681 B
Markdown

# Mfalme... mkono wake wa kulia
"Mimi mfalme, ... mkono wangu wa kulia"
# Mfalme...mkono wake wa kulia
Yesu alijisema yeye mwenyewe katka nafsi ya tatu. AT: "Mimi, Mfalme...mkono wangu wa kulia."
# Njoni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu.
"Njoni, ninyi ambao baba yangu amewabariki."
# Baba yangu
Hili ni jina mashuhuri la Mungu linaloonesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu
# Urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu.
"Urithini ufalme ambao Mungu ameufanya tayari kwa ajili yenu."
# urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajiloi yenu
"pokeeni baraka za utawala wa Mungu ambazo Mungu alipanga kuwapeni"
# tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu
"Tangu hapo alipouumba ulimwengu"