# Mfalme... mkono wake wa kulia "Mimi mfalme, ... mkono wangu wa kulia" # Mfalme...mkono wake wa kulia Yesu alijisema yeye mwenyewe katka nafsi ya tatu. AT: "Mimi, Mfalme...mkono wangu wa kulia." # Njoni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu. "Njoni, ninyi ambao baba yangu amewabariki." # Baba yangu Hili ni jina mashuhuri la Mungu linaloonesha uhusiano kati ya Mungu na Yesu # Urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu. "Urithini ufalme ambao Mungu ameufanya tayari kwa ajili yenu." # urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajiloi yenu "pokeeni baraka za utawala wa Mungu ambazo Mungu alipanga kuwapeni" # tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu "Tangu hapo alipouumba ulimwengu"