sw_tn/mat/22/23.md

12 lines
349 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Masadukayo wanajaribu kumkamata Yesu kwa kumtega kwa swali gumu kuhusu ndoa na ufufuo wa wafu.
# Mwalimu, Musa alisema, 'ikiwa mtu amekufa.
Walikuwa wakimuuliza kuhusu alichoandika Musa katika Maandiko. "Musa alisema kwamba ikiwa mtu amekufa."
# Ndugu yake...mke wake...ndugu yake.
Kimilikishi "yake" inamaanisha yule mfu