# Sentensi unganishi Masadukayo wanajaribu kumkamata Yesu kwa kumtega kwa swali gumu kuhusu ndoa na ufufuo wa wafu. # Mwalimu, Musa alisema, 'ikiwa mtu amekufa. Walikuwa wakimuuliza kuhusu alichoandika Musa katika Maandiko. "Musa alisema kwamba ikiwa mtu amekufa." # Ndugu yake...mke wake...ndugu yake. Kimilikishi "yake" inamaanisha yule mfu