sw_tn/mat/18/04.md

28 lines
613 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anawafundisha wanafunzi wake kwamba wanahitaji kuwa wanyeyekevu kama watoto ili kuwa watu wa muhimu kwenye ufakme wa mbingini
# ni mkuu
ni wa muhimu zaidi aua atakuwa ni wa muhimu
# katika ufame wa mbinguni
katika ufalme wa mbinguni
# kwa jina langu
kwa sababu yangu
# anipokea mimi
ni kama ananipokea mimi
# Jiwe kuu la kusagia likafungwa shingoni mwake,na kuzamishwa kilindini mwa bahari.
"kama wangemwekea jiwe la kusagia shingoni mwake na kumtupa kilindini mwa bahari"
# Jiwe la kusagia
Jiwe kubwa, zito iliyotengenezwa kama duara inayotumika kusagia nafaka kuwa unga .