# Sentensi unganishi Yesu anawafundisha wanafunzi wake kwamba wanahitaji kuwa wanyeyekevu kama watoto ili kuwa watu wa muhimu kwenye ufakme wa mbingini # ni mkuu ni wa muhimu zaidi aua atakuwa ni wa muhimu # katika ufame wa mbinguni katika ufalme wa mbinguni # kwa jina langu kwa sababu yangu # anipokea mimi ni kama ananipokea mimi # Jiwe kuu la kusagia likafungwa shingoni mwake,na kuzamishwa kilindini mwa bahari. "kama wangemwekea jiwe la kusagia shingoni mwake na kumtupa kilindini mwa bahari" # Jiwe la kusagia Jiwe kubwa, zito iliyotengenezwa kama duara inayotumika kusagia nafaka kuwa unga .