sw_tn/mat/16/19.md

28 lines
721 B
Markdown

# nitkupa wewe
neno wewe linamaanisha Petro
# Funguo za ufalme wa mbinguni
Hapa "funguo" zinamaanisha Yesu akimpatia Petro mamlaka. Hii haimaanishi kuwa Petroni mmliki wa ufalme, lakini ana mamlaka ya kuamu nani ataiingia katika ufalme wa Mungu
# ufalme wa mbinguni
Ufalme wa mbinguni limetumika katika Mathayo tu. tumia "mbingu"
# fungwa duniani...funguliwa mbinguni
kuwatangazia watu kusamehewa au kuhukumiwa kama ilivyofanyika mbinguni
# funguo
kitu kinachotumika kufungua na kufunga milango
# chochote utakachokifunga mbinguni ...kifungua duniani kimefungiliwa duniani
Mungu wa mbinguni ataruhusu maombi ya Petro kuruhusu au kufunga duniani
# itafunga ... itafunguliwa
Mungu atafunga .. Mungu atafungua