# nitkupa wewe neno wewe linamaanisha Petro # Funguo za ufalme wa mbinguni Hapa "funguo" zinamaanisha Yesu akimpatia Petro mamlaka. Hii haimaanishi kuwa Petroni mmliki wa ufalme, lakini ana mamlaka ya kuamu nani ataiingia katika ufalme wa Mungu # ufalme wa mbinguni Ufalme wa mbinguni limetumika katika Mathayo tu. tumia "mbingu" # fungwa duniani...funguliwa mbinguni kuwatangazia watu kusamehewa au kuhukumiwa kama ilivyofanyika mbinguni # funguo kitu kinachotumika kufungua na kufunga milango # chochote utakachokifunga mbinguni ...kifungua duniani kimefungiliwa duniani Mungu wa mbinguni ataruhusu maombi ya Petro kuruhusu au kufunga duniani # itafunga ... itafunguliwa Mungu atafunga .. Mungu atafungua