sw_tn/mat/14/intro.md

635 B

Mathayo14 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

14:3-12 inataja matukio yaliyotokea hapo awali. Kwa hiyo, kuna mkatizo katika utaratibu wa matukio wa hadithi. Kusudi la mkatizo huu ni ufafanuzi; mtafsiri ataona umuhimu wa kuashiria mkatizo huu.

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Kinaya

Herode aliamini kwamba kuvunja kiapo kulikuwa na aibu, hivyo aliamuru kuuawa kwa Yohana Mbatizaji. Hata hivyo, mauaji ambayo aliwajibika ilikuwa mbaya zaidi. Hii ni kinaya. (Angalia: rc://*/ta/man/translate/figs-irony)

<< | >>