sw_tn/mat/14/intro.md

18 lines
635 B
Markdown

# Mathayo14 Maelezo ya Jumla
## Muundo na upangiliaji
14:3-12 inataja matukio yaliyotokea hapo awali. Kwa hiyo, kuna mkatizo katika utaratibu wa matukio wa hadithi. Kusudi la mkatizo huu ni ufafanuzi; mtafsiri ataona umuhimu wa kuashiria mkatizo huu.
## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
### Kinaya
Herode aliamini kwamba kuvunja kiapo kulikuwa na aibu, hivyo aliamuru kuuawa kwa Yohana Mbatizaji. Hata hivyo, mauaji ambayo aliwajibika ilikuwa mbaya zaidi. Hii ni kinaya. (Angalia: [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]])
## Links:
* __[Matthew 14:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__