# Mathayo14 Maelezo ya Jumla ## Muundo na upangiliaji 14:3-12 inataja matukio yaliyotokea hapo awali. Kwa hiyo, kuna mkatizo katika utaratibu wa matukio wa hadithi. Kusudi la mkatizo huu ni ufafanuzi; mtafsiri ataona umuhimu wa kuashiria mkatizo huu. ## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii ### Kinaya Herode aliamini kwamba kuvunja kiapo kulikuwa na aibu, hivyo aliamuru kuuawa kwa Yohana Mbatizaji. Hata hivyo, mauaji ambayo aliwajibika ilikuwa mbaya zaidi. Hii ni kinaya. (Angalia: [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]]) ## Links: * __[Matthew 14:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__