sw_tn/mat/13/44.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaelezea juu y a ufalme wa Mungu kwa kutumia mifano miwili ya watu waliouza mali zao kwa kununua kitu cha thamani zaidi
# Maelezo kwa ujumla
Katika mifano hii Yesu anatumia milinganyo miwili kuwafundisha wanfanzi wake kuhusu mfano wa ufalme wa mbinguni
# Ufalme wa mbinguni ni kama
Tazama ilivyotafsiriwa katika 13:24
# kama hazina iliyofichwa shambani
hazina ambayo mtu alificha shambani
# hazina
kkitu cha thamani sana au vitu vilivyokusanywa
# kuficha
alifunika kwa juu
# aliuza kila kitu alichokuwa nacho na kulinunua shamba lile
Maana yake nin kwamba yule mtu ananunua lile shamba ili ili achukue ile hazina iliyofichwa
# ni kama mtu anayefanya biashara atafutaye lulu ya thamani
maana yake ni kwamba yule mtu alikuwa anatafuta ile luu ya thamani ili aweze kuinunua
# mfanya biashara
mchuuzaji au mtu anayeshughulika kuuza vitu vya jumla ambaye mara kwa mara hupata wateaja tokea mbali
# lulu ya tahmani
"lulu" ni kitu lain, kigumu, kinachong'aa, cheupe au shanga yenye mng'ao inayopatikana kwenye viumbe wenye asili ya konokono baharini. Lulu ina bei y a juu sana na hutengenezwa vitu vya thamani kama pete.