# Sentensi unganishi Yesu anaelezea juu y a ufalme wa Mungu kwa kutumia mifano miwili ya watu waliouza mali zao kwa kununua kitu cha thamani zaidi # Maelezo kwa ujumla Katika mifano hii Yesu anatumia milinganyo miwili kuwafundisha wanfanzi wake kuhusu mfano wa ufalme wa mbinguni # Ufalme wa mbinguni ni kama Tazama ilivyotafsiriwa katika 13:24 # kama hazina iliyofichwa shambani hazina ambayo mtu alificha shambani # hazina kkitu cha thamani sana au vitu vilivyokusanywa # kuficha alifunika kwa juu # aliuza kila kitu alichokuwa nacho na kulinunua shamba lile Maana yake nin kwamba yule mtu ananunua lile shamba ili ili achukue ile hazina iliyofichwa # ni kama mtu anayefanya biashara atafutaye lulu ya thamani maana yake ni kwamba yule mtu alikuwa anatafuta ile luu ya thamani ili aweze kuinunua # mfanya biashara mchuuzaji au mtu anayeshughulika kuuza vitu vya jumla ambaye mara kwa mara hupata wateaja tokea mbali # lulu ya tahmani "lulu" ni kitu lain, kigumu, kinachong'aa, cheupe au shanga yenye mng'ao inayopatikana kwenye viumbe wenye asili ya konokono baharini. Lulu ina bei y a juu sana na hutengenezwa vitu vya thamani kama pete.