sw_tn/mat/13/40.md

40 lines
635 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anamaliza kuwaeleza wanafunzi wake mfano wa shamba lenye magugu na ngano
# Kama vile magugu yanavyokusanywa nakuchomwa moto
Kwa hiyo, kama watu wayakusanyavyo magugu na kuyachoma moto"
# mwisho wa ulimwengu
mwisho wa nyakati
# Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake
Yesu anamaanisha yeye mwenyewe
# wale watendao maasi
"wale wasio na sheria" au "watu waovu"
# tanuru la moto
moto wa kuzimu
# kulia nakusaga meno
Hii inamaanisha huzuni kubwa na mateso
# watakapong'aa kama jua
watakuwa rahisi kuwaona kama jua
# Baba
hiki ni cheo muhimu cha Mungu
# yeye aliye na masikio
kila anayenisikiliza