# Sentensi unganishi Yesu anamaliza kuwaeleza wanafunzi wake mfano wa shamba lenye magugu na ngano # Kama vile magugu yanavyokusanywa nakuchomwa moto Kwa hiyo, kama watu wayakusanyavyo magugu na kuyachoma moto" # mwisho wa ulimwengu mwisho wa nyakati # Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake Yesu anamaanisha yeye mwenyewe # wale watendao maasi "wale wasio na sheria" au "watu waovu" # tanuru la moto moto wa kuzimu # kulia nakusaga meno Hii inamaanisha huzuni kubwa na mateso # watakapong'aa kama jua watakuwa rahisi kuwaona kama jua # Baba hiki ni cheo muhimu cha Mungu # yeye aliye na masikio kila anayenisikiliza