sw_tn/mat/13/34.md

36 lines
908 B
Markdown

# Maelezo kwa umumla
Mwandishi anannukuu toka Zaburi kuonesha kuwa mafundisho ya Yesu kwa mfano ni kwa ajili kutimiza unabii
# Hayo yote Yesu aliyasema kwa mifano, Na pasipo mifano hakusema chochote kwao
Sentensi zote zina maana moja. Zimeunganishwa kusisitiza kwamba Yesu alifundisha makutano kwa kutumia mifano.
# hayo yote
Hii inamaanisha kuwa kile alichofundisha Yesu kinaanzia 13"1
# Pasipo mifano hakusema chochote kwao
""hakufundisha chochote isipokuwa kwa mifano"
# kile kilichokwisha semwa kupitia kwa nabii kiweze kutimia, pale aliposema
alaikifanya kiwe kweli kile alichokuwa amemwambia mmoja wa manabii kukiandika hapo zamani
# aliposema
nabii aliposema
# nitafumbua kinywa chcangu
Hii ni nahau inayomaanisha kuwa nitasema "nitasema"
# yaliyokuwa yamefichwa
mambo ambayo Mungu ameyaficha
# tangu misingi ya ulimwengu
"tangu kuanza kwa ulimwengu" au tangu Mungu aumbe ulimwengu"