# Maelezo kwa umumla Mwandishi anannukuu toka Zaburi kuonesha kuwa mafundisho ya Yesu kwa mfano ni kwa ajili kutimiza unabii # Hayo yote Yesu aliyasema kwa mifano, Na pasipo mifano hakusema chochote kwao Sentensi zote zina maana moja. Zimeunganishwa kusisitiza kwamba Yesu alifundisha makutano kwa kutumia mifano. # hayo yote Hii inamaanisha kuwa kile alichofundisha Yesu kinaanzia 13"1 # Pasipo mifano hakusema chochote kwao ""hakufundisha chochote isipokuwa kwa mifano" # kile kilichokwisha semwa kupitia kwa nabii kiweze kutimia, pale aliposema alaikifanya kiwe kweli kile alichokuwa amemwambia mmoja wa manabii kukiandika hapo zamani # aliposema nabii aliposema # nitafumbua kinywa chcangu Hii ni nahau inayomaanisha kuwa nitasema "nitasema" # yaliyokuwa yamefichwa mambo ambayo Mungu ameyaficha # tangu misingi ya ulimwengu "tangu kuanza kwa ulimwengu" au tangu Mungu aumbe ulimwengu"