sw_tn/mat/13/03.md

44 lines
918 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anafafanua juu ya ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa mpanzi
# Yesu alisema maneno mengi kwa mfano
"Yesu aliwaambia maneno mengi kwa mifano"
# nao
"kwa wale watu kwenye mkutano"
# Tazama
"angalia" au "sikiliza." neno hili linavuta usukivu wa kile Yesu anachotaka kusema baadaye. "uwe tayari kusikiliza jambo amablo nataka kuwaambia"
# mpanzi alienda kupanda
"mpanzi alienda kumwaga mbegu shambani"
# alipokuwa akipanda
"mpanzi alipokuwa akiendelea kumwaga mbegu"
# kandoya njia
Hii inamanisha "njiani wanapopita" peembeni mwa shamba. araidhi ya pale ni ngumu kwa sababu ya watu kuikanyaga.
# wakazidonoa
"wakazila mbegu zote"
# juu ya mwamba
Hii ni eneo lililojaa miamba na sehemu nyembamba ya udongo ulio juu ya miamba
# Ghafla zilichipuka
"zile mbegu zilimea na kukua"
# zilichomwa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "jua lilichoma ile mimea na ikaungua"