# Sentensi unganishi Yesu anafafanua juu ya ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa mpanzi # Yesu alisema maneno mengi kwa mfano "Yesu aliwaambia maneno mengi kwa mifano" # nao "kwa wale watu kwenye mkutano" # Tazama "angalia" au "sikiliza." neno hili linavuta usukivu wa kile Yesu anachotaka kusema baadaye. "uwe tayari kusikiliza jambo amablo nataka kuwaambia" # mpanzi alienda kupanda "mpanzi alienda kumwaga mbegu shambani" # alipokuwa akipanda "mpanzi alipokuwa akiendelea kumwaga mbegu" # kandoya njia Hii inamanisha "njiani wanapopita" peembeni mwa shamba. araidhi ya pale ni ngumu kwa sababu ya watu kuikanyaga. # wakazidonoa "wakazila mbegu zote" # juu ya mwamba Hii ni eneo lililojaa miamba na sehemu nyembamba ya udongo ulio juu ya miamba # Ghafla zilichipuka "zile mbegu zilimea na kukua" # zilichomwa Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "jua lilichoma ile mimea na ikaungua"