sw_tn/mat/12/41.md

32 lines
654 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisayo
# Watu wa ninawi
"Raia wa Ninawi"
# watasimama mbele ya watu pamoja na kizazi cha watu hawa
"watasimama siku ya hukumu na kuwahukumu kizazi hiki"
# Kizazi cha watu hawa
Yesu anamaanisha watu walioishikipindi hiki
# watakihukumu
Atakuwa Mungu atayekihukumu kizazi cha watu wa Yesu
# na tazama
"na angalia" Hii inatia msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# mtu fulani mkuu
"mtu wa muhimu sana"
# kulikoYona yuko hapa
Unaweza kifanya maana ya sentensi ya Yesu iliyofumbwa kuwa wazi. "kuliko Yona yuko hapa, Lakini bado hamjatubu, hii ndiyo sababu Mungu atawahukumu.