# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisayo # Watu wa ninawi "Raia wa Ninawi" # watasimama mbele ya watu pamoja na kizazi cha watu hawa "watasimama siku ya hukumu na kuwahukumu kizazi hiki" # Kizazi cha watu hawa Yesu anamaanisha watu walioishikipindi hiki # watakihukumu Atakuwa Mungu atayekihukumu kizazi cha watu wa Yesu # na tazama "na angalia" Hii inatia msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # mtu fulani mkuu "mtu wa muhimu sana" # kulikoYona yuko hapa Unaweza kifanya maana ya sentensi ya Yesu iliyofumbwa kuwa wazi. "kuliko Yona yuko hapa, Lakini bado hamjatubu, hii ndiyo sababu Mungu atawahukumu.