sw_tn/mat/12/31.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo
# nasema kwenu
Hii inaongeza msisitizo wakile Yesu alichosema baadaye
# sema kwenu
Hapa "kwenj" ni wingi. Yesu anaongea moja kwa moja na Mafarisayo, lakini pia anwafundisha makutano
# kila dhambi na kufuruwatu watasamehewa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Mungu atasamahe kila dhambi ambayo watu wanafanya na kila jambo ovu wanlosema
# ila kumkufuru Roho Mtakatifu watu hawatasamehewa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Mungu hatamsamehe mtu yule amabye anasema mabo maovu dhidi ya Roho Mtakatifu.
# Na yeyotte asemaye neno kinyume cha Mwana wa Adamu
Hapa "neno" linamaanisha kile amabcho mtu husema, "N kama mtu atasema chchote kibaya kuhusu Mwana wa Adamu"
# Mwana wa Adamu
Yesu anaongea juu yake mwenyewe
# hilo atasamahewa
Hili linaweza kuelezwa katikamfumo tendaji. "Mungu atamsamehe mtu kwa ajiloi yahilo"
# huyo hatasamehewa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Mungu hatamsamehe mtu huyo"
# katika ulimwengu huu, na wala ule ujao
Hapa " ulimwengu huu" na " ule ujao" inamaanisha maisha haya ya leo na maisha yajayo. " katika maisha haya au yajayo" au "sasa au baadaye"