# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo # nasema kwenu Hii inaongeza msisitizo wakile Yesu alichosema baadaye # sema kwenu Hapa "kwenj" ni wingi. Yesu anaongea moja kwa moja na Mafarisayo, lakini pia anwafundisha makutano # kila dhambi na kufuruwatu watasamehewa Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Mungu atasamahe kila dhambi ambayo watu wanafanya na kila jambo ovu wanlosema # ila kumkufuru Roho Mtakatifu watu hawatasamehewa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Mungu hatamsamehe mtu yule amabye anasema mabo maovu dhidi ya Roho Mtakatifu. # Na yeyotte asemaye neno kinyume cha Mwana wa Adamu Hapa "neno" linamaanisha kile amabcho mtu husema, "N kama mtu atasema chchote kibaya kuhusu Mwana wa Adamu" # Mwana wa Adamu Yesu anaongea juu yake mwenyewe # hilo atasamahewa Hili linaweza kuelezwa katikamfumo tendaji. "Mungu atamsamehe mtu kwa ajiloi yahilo" # huyo hatasamehewa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Mungu hatamsamehe mtu huyo" # katika ulimwengu huu, na wala ule ujao Hapa " ulimwengu huu" na " ule ujao" inamaanisha maisha haya ya leo na maisha yajayo. " katika maisha haya au yajayo" au "sasa au baadaye"