sw_tn/mat/12/19.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Mathayo anaendelea kumnukuu Isaya
# wala awaye yote kusikia sauti yake mitaani
hapa "sauti" inamaanisha nafsi kamili "na hataongea kwa sauti"
# yake ... hata
Viwakilishivyote hivi vinamaanisha mtumishi wa Mungualiyechaguliwa
# mitaani
Hii ni nahau inayomaanisha "umma."katika miji"
# hatalivunja tet liliochubuliwa .. hatazima utambi wowote unatoa moshi
Senttensi hizi zote zinamaanisha kitu kilekile. Ni sitiari zinazosisitiza kuwa mtumishi wa Mungu atakuwa mnyenyekevu na mpole. Vyote "tete lililochubuliwa na utambi utoa moshi" vinawakilisha watu dhaifu na wenye kudhuru.
# hatalivunja
"hataliweka nje"
# utambi utoa moto
Hii inamaanisha utambi ambao moto umezima lakini bado unatoa moshi
# moshi, mpaka
Hii inaweza kutafsiriwa kwa sentensi mpya; "moshi Hiki ndicho atachofanya"
# Mpaka atakapoleta hukumu ikashinda
"mpaka atakapofaulu kuleta haki na wokovu kwa watu. Maana ya nomino dhania "hukumu" inaweza kutafsiriwa kama "haki" au "okoa". "watuwajue kuwa mimi ni wa haki na nitawaokoa"
# katika jina lake
Hapa "jina" linamaanisha nafsi kamili