# Sentensi unganishi Mathayo anaendelea kumnukuu Isaya # wala awaye yote kusikia sauti yake mitaani hapa "sauti" inamaanisha nafsi kamili "na hataongea kwa sauti" # yake ... hata Viwakilishivyote hivi vinamaanisha mtumishi wa Mungualiyechaguliwa # mitaani Hii ni nahau inayomaanisha "umma."katika miji" # hatalivunja tet liliochubuliwa .. hatazima utambi wowote unatoa moshi Senttensi hizi zote zinamaanisha kitu kilekile. Ni sitiari zinazosisitiza kuwa mtumishi wa Mungu atakuwa mnyenyekevu na mpole. Vyote "tete lililochubuliwa na utambi utoa moshi" vinawakilisha watu dhaifu na wenye kudhuru. # hatalivunja "hataliweka nje" # utambi utoa moto Hii inamaanisha utambi ambao moto umezima lakini bado unatoa moshi # moshi, mpaka Hii inaweza kutafsiriwa kwa sentensi mpya; "moshi Hiki ndicho atachofanya" # Mpaka atakapoleta hukumu ikashinda "mpaka atakapofaulu kuleta haki na wokovu kwa watu. Maana ya nomino dhania "hukumu" inaweza kutafsiriwa kama "haki" au "okoa". "watuwajue kuwa mimi ni wa haki na nitawaokoa" # katika jina lake Hapa "jina" linamaanisha nafsi kamili