sw_tn/mat/10/34.md

32 lines
532 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu sababu kutohofia dhiki ambayo itawapata.
# Msifikiri
"Msidhani" au "msilazimike kufikiri"
# duniani
Hii inamaanisha watu wanaoishi duniani. "kwa watu wa duniani" au "kwa watu"
# upanga
Hii inamaanisha mgawanyiko, mapigano, na mauji kati ya watu
# weka
"kugeuka" au "kugawanya" au "kutenganisha"
# mtu dhidi ya baba yake
"mwana dhidi ya baba yake"
# Adui wa mtu
"Adui wa mtu" au "Adui mbaya wa mtu"
# wale wa nyumbani mwake
"watu wa familia yake"