# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu sababu kutohofia dhiki ambayo itawapata. # Msifikiri "Msidhani" au "msilazimike kufikiri" # duniani Hii inamaanisha watu wanaoishi duniani. "kwa watu wa duniani" au "kwa watu" # upanga Hii inamaanisha mgawanyiko, mapigano, na mauji kati ya watu # weka "kugeuka" au "kugawanya" au "kutenganisha" # mtu dhidi ya baba yake "mwana dhidi ya baba yake" # Adui wa mtu "Adui wa mtu" au "Adui mbaya wa mtu" # wale wa nyumbani mwake "watu wa familia yake"