sw_tn/mat/08/05.md

20 lines
403 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hapa simulizi hili linabadili mandhari ya muda na eneo na simulizi inakuwa ni ya habari za Yesu akimponya mtu mwingine
# akaja kwake na kumwambia yeye
Hapa "yeye" anarejea kwa Yesu.
# amepooza
"Asiyeweza kutembea kwa sababu ya ugonjwa"
# Yesu akamwambia yeye
"Yesu akamwambia jemedari"
# nitakuja na kumponya yeye
"nitakuja nyumbani kwako na kumfanya mtumishi wako apone"