# Sentensi unganishi Hapa simulizi hili linabadili mandhari ya muda na eneo na simulizi inakuwa ni ya habari za Yesu akimponya mtu mwingine # akaja kwake na kumwambia yeye Hapa "yeye" anarejea kwa Yesu. # amepooza "Asiyeweza kutembea kwa sababu ya ugonjwa" # Yesu akamwambia yeye "Yesu akamwambia jemedari" # nitakuja na kumponya yeye "nitakuja nyumbani kwako na kumfanya mtumishi wako apone"