sw_tn/mat/02/13.md

36 lines
879 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Katika mstari wa 15, mwandishi amnukuu nabii Hosea kuonesha kwamba Kristo angekaa Misri.
# walikuwa wameondoka
:mamajusi walikuwa wameondoka"
# alimtokea yusufu katika ndoto.
"alikuja kwa Yusufu wakati alipokuwa anaota.
# Amka, chukua...kimbilia...Baki...wewe
Mungu anazungumza na Yusufu, haya yanapaswa kuwa katika umoja.
# hadi nitakapo kuambia
Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa kuwa wazi. "mpaka nitakapo kuambia ni salama kurudi."
# Nita kuambia
Hapa "nitakapo kuambia" inamaanisha Mungu. Malaika anazungumza kwa ajili ya Mungu.
# Alibaki
Inamaanisha kwamba Yusufu, Mariamu, na Yesu walibaki Misri. "Walibaki"
# mpaka kifo cha Herode
Herode hafi mpaka Maelezo haya yanaelezea urefu wa muda wa kukaa Mirsi, na hayasemi kwamba Herode alikufa kwa wakati huu.
# Kutoka Misri nitamwita mwanangu
"Nimemwita mwanangu kutoka Misri"