# Taarifa za jumla: Katika mstari wa 15, mwandishi amnukuu nabii Hosea kuonesha kwamba Kristo angekaa Misri. # walikuwa wameondoka :mamajusi walikuwa wameondoka" # alimtokea yusufu katika ndoto. "alikuja kwa Yusufu wakati alipokuwa anaota. # Amka, chukua...kimbilia...Baki...wewe Mungu anazungumza na Yusufu, haya yanapaswa kuwa katika umoja. # hadi nitakapo kuambia Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa kuwa wazi. "mpaka nitakapo kuambia ni salama kurudi." # Nita kuambia Hapa "nitakapo kuambia" inamaanisha Mungu. Malaika anazungumza kwa ajili ya Mungu. # Alibaki Inamaanisha kwamba Yusufu, Mariamu, na Yesu walibaki Misri. "Walibaki" # mpaka kifo cha Herode Herode hafi mpaka Maelezo haya yanaelezea urefu wa muda wa kukaa Mirsi, na hayasemi kwamba Herode alikufa kwa wakati huu. # Kutoka Misri nitamwita mwanangu "Nimemwita mwanangu kutoka Misri"